Makapuku Forum

Makapuku Forum

Acha uboya
Kuna blogger namwandikiaga kwa "makubaliano"
Mpango ni kuanzisha blog yangu sema nasikia ukiwa maarufu ndo unapata matangazo
Hiyo ndo shida
................
Umaarufu unaanzaga kidogokidogo,
Anza kujitangaza mapema:
Ushauri wangu kwako
1. Acha msimamo mkali
2. Acha shobo za kinyaki
3. Acha dharau coz wajinga na
waerevu wote ni wateja wako
watarajiwa
NIMEKUSOMA SANA UNA HAYA;
1. unajua kusimamia jambo lako
ambalo n jambo jema kibiashara
2. Wew ni mbunifu sana, hii ni fursa nzuri ku make money kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom