Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Umepata CD yake?Nilikuwa naicheki ile movie ya Straight Outta compton jamaa wana misamiati ya ki-hood hataree
HBO- home boys only 🙂
Men with Attitudes....hahaha Lol
Umepata CD yake?Nilikuwa naicheki ile movie ya Straight Outta compton jamaa wana misamiati ya ki-hood hataree
HBO- home boys only 🙂
Men with Attitudes....hahaha Lol
Mi Niko kwenye mikakati, ujio wangu utaonekanaOyoooooo
Jamani mbuni vipindi na kuviendeleza ili tuwe tunajulishana issue za kijanja naona now kimya
.................
Pia yanga kwa sasa uchovu unawasumbua, maana hawajapumzikaSare ugenini siyo mbaya
Huwezi shinda kila siku ndio maana ya ligi mwishoni mwenye point nyingi ndo bingwa
..........
Hii ni homa ya jijiIla KF imetisha sana ndani ya saa 24 zimepatikana 99k,100k na 101k
Makofi tahadhali![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hujaumia?? Manake vidonda vinaudhiYanga wameniangusha sanaaaaa
Kweli kabisa, mpaka JF ilistackHii ni homa ya jiji
Hii ni kweli kabisaLakini tangu yule kipa asepe kuna pengo kubwa la vipindi
Ukiachilia magazeti ni Bepari pekee anayeeleweka
Mfano ww ungeweza kubuni kitu kingine pia coz nukuu unaleta2 au 3 ingepwndeza ziwe 5 au zaidi
Ushauri
................
...........
That's my ankaliPoa, nafanyia kazi ushauri wako
Kachukuliwe huko...Ww mbona una akili za kiboya
![]()
![]()
![]()
.......
Vip kafungwa ngapi!Tukross vidole basi ili Kimba ifungwe![]()
Tawire.. Tawire kaka..Hii ya kumgeuza farasina kuanza kumpanda kwa nyuma nahisi ndo ifamfaa zaidi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Mr. BitozSafi sanaaaView attachment 395702
Vip matokeo ya wapiga manyanga!!?Kimba![]()
Ruvu![]()
..................
Mashkolo mageni mayuu..Hi Jirani
uwiiiii kumbe Jf ni tamu kwa simu...kwa Pc naona kila kitu kipyaa mweeee
Umefurahi eehh..Nilikuwa naicheki ile movie ya Straight Outta compton jamaa wana misamiati ya ki-hood hataree
HBO- home boys only 🙂
Men with Attitudes....hahaha Lol
Yebo yebo... Wazee wa miferejin, wasioipenda masikaSimba 2
Ruvu 1
Azam 1
Prisons 0
Yanga 0
Ndanda 0
Inuka twende, ndio ukome kusafiri na walev wa matopeni.Yanga wameniangusha sanaaaaa
Hamieni simbaYanga wameniangusha sanaaaaa
You are welcome...Siwezi pc kwa Jf, ngoja nirudi kwenye simu...nahisi kama si enjoy