shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kuna mambo nilikuwa naweka sawa, kuanzia kesho kama kawaShululu
![]()
![]()
![]()
...........
Kuna mambo nilikuwa naweka sawa, kuanzia kesho kama kawaShululu
![]()
![]()
![]()
...........
Muache Jirani yanguuuuuWw ni Kimber ila unazugaga
![]()
![]()
........
Kuna mambo nilikuwa naweka sawa, kuanzia kesho
Wengine wako wapi??
Kumbe we yanga mi simba atiYanga wameniangusha sanaaaaa
Lakini tangu yule kipa asepe kuna pengo kubwa la vipindiKuna mambo nilikuwa naweka sawa, kuanzia kesho kama kawa
Yanga hua wanaigopa ndandaYanga wameniangusha sanaaaaa
Pole, hujaumia lakiniKumbe we yanga mi simba ati
Bitozi umeisoma namba leo kwa ndanda
UtajazaSiwezi pc kwa Jf, ngoja nirudi kwenye simu...nahisi kama si enjoy
Poa, nafanyia kazi ushauri wakoLakini tangu yule kipa asepe kuna pengo kubwa la vipindi
Ukiachilia magazeti ni Bepari pekee anayeeleweka
Mfano ww ungeweza kubuni kitu kingine pia coz nukuu unaleta2 au 3 ingepwndeza ziwe 5 au zaidi
Ushauri
................
...........
Simba kashindaPole, hujaumia lakini
Sare ugenini siyo mbayaYanga wameniangusha sanaaaaa
ItapendezaPoa, nafanyia kazi ushauri wako
RUVU JKT anawasalimiaBitozi umeisoma namba leo kwa ndanda
Leo tumelipizia kwa ndugu zao atiRUVU JKT anawasalimia
Mbona hukuja kupiga kelele
Shabiki wakizushi
![]()
![]()
![]()
.......

UshambaHi Jirani
uwiiiii kumbe Jf ni tamu kwa simu...kwa Pc naona kila kitu kipyaa mweeee