Taarifa nilizozipata hivi punde...watu wanaolala gesti mchana mchana wameanza kukamatwa!!!!! kuna defender linawazoa ningeweza kuwatumia Audio ila ndo siwezi ku attach! waambien jamaa zenu watoke haraka ni sheedar. Makonda ameshasaini sheria ya watu wanaoingia gesti mchana kukamatwa.
Sent from my SM-G361H using
JamiiForums mobile app