Makapuku Forum

1968 - Marcel Desailly anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na Timu ya Taifa ya Ufaransa.

Alikuwepo kwenue kikosi cha Ufaransa kilichobeba ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1998 pale nyumbani kwao Ufaransa.

Pia alibeba kombe la mataifa ya Ulaya " Euro " mwaka 2000.

Pamoja na kuwa ni Mfaransa, lakini alizaliwa nchini Ghana.
 
Navutwaa, ulitisha sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…