Makapuku Forum

Makapuku Forum

1473168120664.jpg
1473168138986.jpg
1473168157509.jpg
 
KAPUKU YEYOTE MWENYE UCHU ALIKUWA NA UWEZO WA KUTUPIA 100K KABLA YA LEO SAA 12 NA NUSU ASUBUHI

100000-98588=1412
{posts mpaka 100k kabla ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi kuanzia sa saba na dk49 usiku}

06:40:00-01:49:00=04:51:00
{masaa manne na sekunde 51 bila member yeyote kuchangia}

4*3600+51*60=17460

17460/1412=12.3654390934
{muda wa kuandika na kutuma post moja [kila sekunde 12.365.....] kuanzia hiyo saa 7 na dk 49 usiku}

12*1412=16944
{kwa kutumia muda usiozidi sekunde 12 TU}

17460-16944=516 516/60=8.6=>8:10
{zinabaki dk 8 na sekunde 10 mpaka unamaliza tukio zima}

=>6:29:50
{mpaka leo saa 12 na dk 29 na sekunde 50 TUU, 100k inakuwa imeishatumbuliwa}

cc:all kapukuz Mussolin5 jonax briz Jimena Bitoz Bailly5 shululu Sweetiepie Cobblepots makaveli10 nk

Wenu,
Tetramelyz ahsanteni
Nahisi utaitupia wewe hiyo!
 
Google!!!!

Mie niko tabora bhana, huko google ninapasikia tu, ila ntajitahid nikirud dar nifike huko google,maana siku hiz kila mtu mtaani anapataja google..


Google!!!!

Mie niko tabora bhana, huko google ninapasikia tu, ila ntajitahid nikirud dar nifike huko google,maana siku hiz kila mtu mtaani anapataja google..
Umehama had mkoa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom