Wenzetu wapo vizuri kwa kujali usalama wa watu wao1666 - Moto Mkubwa uliozuka Jijini London wazimwa.
Moto huo uliozuka kwa siku tatu uliteketeza maelfu ya majengo katika jiji hilo ikiwemo kanisa maarufu la kipindi hiko la Mtakatifu Paulo.
Pamoja na kuwa moto huo ulikuwa mkubwa sana, uliuua watu 6 tu.
Ndevu nazo zinalipiwa kodi1698 - Mfalme Peter wa Kwanza wa Nchini Urusi anatambulisha kodi ya Ndevu kwa wanaume nchini humo kasoro Wakulima tu.
Castro hajaribiwi bhaana1957 - Vuguvugu la mapinduzi ya Cuba linapamba moto baada ya Dikteta wa Nchi hiyo Fulgencio Batista kulipua mabomu katika kitongoji cha Cienfuegos ndani ya Jiji la Havana akiaamini atawakomoa akina Fidel Castro na wenzake.
Hiyo ipo mbonaHuu sasa ubaguzi.
Hii haina tofauti na ile hoja inayosema "watu wataanza kulipa nauli ya ndege kulingana na uzito wako wa mwili"
R.I.P1960 - Bondia Muhammad Ali anashinda medali ya dhahabu katika Masumbwi ya uzito wa juu katika Olimpiki ya majira ya joto huko Jijini Rome nchini Italy
1960 - Bondia Muhammad Ali anashinda medali ya dhahabu katika Masumbwi ya uzito wa juu katika Olimpiki ya majira ya joto huko Jijini Rome nchini Italy
Yani wana mambo ya ajabu kweli...
Haaa hii lazma niitafute aisee!!1972 - Yanatokea mauaji ya kutisha katika michezo ya Olimpiki huko jijini Munich nchini Ujerumani.
Tukio hilo maarufu kama " Munich Massacre " lilifanywa na kikundi cha Wapalestina kilichojulikana kama Black September dhidi ya wanamichezo wa Israel.
Baada ya kuvamia kijiji cha Olimpiki, Kundi hilo la Black september likaua Waisrael na kuwashikilia mateka baadhi.
Hali iliyopelekea Shirika la Ujasusi la Israel, Mossad kuandaa Operesheni na kuwasaka wauaji wake wakiwa hai au wamekufa.
Ilikuwa ni Operesheni ya aina yake kuafanywa na Mossad chini ya kikundi hatari cha uuaji kijulikanacho kama KIDON.
Waliuwa wote waliohusika katika mauaji yale ya Munich.
Tafuta documentary iitwayo " Mossad The World's Most Killing Machine "ufaidi uhondo.
Nitakufua... ohoooo!Paka mkubwa ww
............
Mzee wa bodi ya parole1975 - Lynette Fromme anajaribu kumuua Rais wa Marekani Gerald Ford huko jijini California.
Mwanamama huyo alichukua uamuzi mgumu lakini alishindwa, kabla ya kukamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha.
Baada ya kukaa miaka 34 gerezani aliachiwa kwa msamaha wa Parole mwaka 2009.
Hii naitafuta kesho tu1972 - Yanatokea mauaji ya kutisha katika michezo ya Olimpiki huko jijini Munich nchini Ujerumani.
Tukio hilo maarufu kama " Munich Massacre " lilifanywa na kikundi cha Wapalestina kilichojulikana kama Black September dhidi ya wanamichezo wa Israel.
Baada ya kuvamia kijiji cha Olimpiki, Kundi hilo la Black september likaua Waisrael na kuwashikilia mateka baadhi.
Hali iliyopelekea Shirika la Ujasusi la Israel, Mossad kuandaa Operesheni na kuwasaka wauaji wake wakiwa hai au wamekufa.
Ilikuwa ni Operesheni ya aina yake kuafanywa na Mossad chini ya kikundi hatari cha uuaji kijulikanacho kama KIDON.
Waliuwa wote waliohusika katika mauaji yale ya Munich.
Tafuta documentary iitwayo " Mossad The World's Most Killing Machine "ufaidi uhondo.
Bado haijaanza ila ndo wako karibu kuipitisha rasmi.Hiyo ipo mbona
Rabaeka shemeji..Cc Makaveli10
Huyu Jamaa ni shida Duniani, CIA wanajuaCastro hajaribiwi bhaana