Tena ishushie na super glue kabisaNimeingia chumbani nikakuta panya wamekula dawa yangu ya meno,
Na mimi nimechukua ya kwao nikanywa. Sipendagi ujinga mimi!![emoji57][emoji57][emoji57]
Leo nilibanwa sana.Wapi Mussolin5 sio kwa kuadimika huku mwenyekiti
AhsanteFinally
Karibu tena mwenyekiti
[emoji23][emoji23][emoji23]Huu sasa uchochezi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku za mitihani walolimu wajanja!!
KaribuLeo katika Historia:
Bitoz anywa sodaLeo katika Historia:
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kachu nomaaa[emoji23][emoji23]Kachu alikuwa ufukweni mwa bahari akiwaza sana.
Nguvu akamuuliza: Unawaza nini?
Kachu akajibu: natafakari hii bahari ingekua supu ningeinywa na chapati ngapi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa huyu anaona kabisaaa kamkomesha panya...[emoji23][emoji23]Nimeingia chumbani nikakuta panya wamekula dawa yangu ya meno,
Na mimi nimechukua ya kwao nikanywa. Sipendagi ujinga mimi!![emoji57][emoji57][emoji57]
Wallahi ingekuwa hapa bongo huo moto ungeua maelfu...[emoji47]1666 - Moto Mkubwa uliozuka Jijini London wazimwa.
Moto huo uliozuka kwa siku tatu uliteketeza maelfu ya majengo katika jiji hilo ikiwemo kanisa maarufu la kipindi hiko la Mtakatifu Paulo.
Pamoja na kuwa moto huo ulikuwa mkubwa sana, uliuua watu 6 tu.
Wanalia nini sasa?!!!Sa wanalia nini? Bwana harusi atakuwa ana undugu na jonax
Hawa ni Albino?
Unataka kusema kama shepu hata puppy anayo au?! ...[emoji23][emoji23]
Buree[emoji1] [emoji1]Tena ishushie na super glue kabisa
Alaaaaaa!
Kwani sh. Ngap bhanaaa?