Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
J.tatu imeenda vyema twamshukuru Mungu ameturuhusu kuona siku nyingine tena, j.tatu iko vipi kwa upande wako?Wakuu wazima, jumatatu imeendaje?
Baadae kidogo nitawaletea segment yetu.
J.tatu imeenda vyema twamshukuru Mungu ameturuhusu kuona siku nyingine tena, j.tatu iko vipi kwa upande wako?Wakuu wazima, jumatatu imeendaje?
Baadae kidogo nitawaletea segment yetu.
Cc JonaxKikatuni changu kanitapeli
![]()
![]()
![]()
...........
Mwambie huyo kikofiaRoho inaishi
Iko poa pia, kwa neema za mungu tunasonga mbele.J.tatu imeenda vyema twamshukuru Mungu ameturuhusu kuona siku nyingine tena, j.tatu iko vipi kwa upande wako?
FinallyIko poa pia, kwa neema za mungu tunasonga mbele.
Akiishiwa bando lake la chuo atapotea tu
.......
What did u say?Jonax katika ubora wake
Nakuwekea kiporo wewe...Tapeli ndumilakuwili
![]()
![]()
![]()
......
Cc bitozTuko juuuuu!!!!![]()
Boya..Kati ya boya na boga lipi afadhali
![]()
![]()
![]()
........
Sijawah kuwaza mkuu..Mwanangu una kipaji unaweza uka-rhyme kabisa, inabidi uingie studio sasa
Ni kwa neema tu kwakweliIko poa pia, kwa neema za mungu tunasonga mbele.
TawireeeeKesho tu hataonekana hapa
Nkitulia fresh, nampita kwa ukali...Bado hajamfikia Ngedere
Mbwembwe tu
![]()
![]()
![]()
........
Hahaa.. Njoo chobingo.Umeotaje tumerudianaau....
![]()