Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,421
Hahahahaa shughuli ipo
Hahahahaa shughuli ipo
Nipo hewani kama kawaidaJimena how are you?
Nikajua hauko hewani nkasema ntakucheki baadae.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7][emoji7][emoji41][emoji41][emoji8][emoji8][emoji8]
Hapo sawaJana nlikuwa kwenye safari nikashindwa hata kuambatanisha nyimbo.
Nimeishia tu kusoma mabandiko ya watu.
Usijali leo ntafidia na za jana.
Tena ni waaminifu
Una hela ww
Mweeer haya bhaana shem lake nkajua weye kanjibhai maana umepiga kihindi cha maana sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana, mi ni mzaramo wa pale majimatitu
Unauliza michongoma Kota??Una hela ww
Mashauzi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Huu sasa uchochezi jamaniMweeer haya bhaana shem lake nkajua weye kanjibhai maana umepiga kihindi cha maana sana.
Sawa mkuu.. Nashkuru kusikia hvyo..Salama kabisa mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sa wanalia nini? Bwana harusi atakuwa ana undugu na jonax
Weka pichaSawa mkuu.. Nashkuru kusikia hvyo..
Usirudi kabisaNitarudi badae...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wewe tena na picha zakoWeka picha