Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Hongera sana kwa 98kUnatafutwa
Hawana usemiMombasa wanasemaje
Weka pichaPako gado sanaaaView attachment 393982mademu wa Mombasa ni kama wa Tanga tu.
Ni mwendo wa kujikamatia tu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ukipenda penda tu haikupunguzii kitu, ila usitoea nafsi yako nzima kwake utapata tabu..Makaveli punguza kupenda sana, utaumiza roho yako bure
Kweli una hamu ya banLong time sijapigwa Ban!View attachment 393972sijui niende kule kwenye jukwaa la polifix nkawachokoze wakereketwa wa ccmView attachment 393973![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona ni modo wa maana sana huyo rangi adimu black..au wewe mpenda vyura nini!?
Kaona nini, jua au mwezi.Umeona eee
Hongera mr shululu..Mchezo wa 98k nimeishaumaliza
Daaah aisee....Ukipenda penda tu haikupunguzii kitu, ila usitoea nafsi yako nzima kwake utapata tabu..


Mtondogoo...100 k itakuwa leo nn
Sio ya Ximena?Itakuwa ya Dicteta Mussolin 5.
Mpuuzi tu ww![]()
![]()
![]()
Mke hachungwi, mpe nafasi aoneshe kile alichokificha ndani ya mtima wake.. Akijambisha kapoteza nafasi, kadi nyekundu inamuhusu..
Tia kidochi.. Chi.. Chi.. Chii.. (Juma nature)
Poa mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Usijali mkuu mambo ya salute nimeachana nayo, tuendelee kama kawa kunogesha kf
Asante mkuu makaveliHongera mr shululu..