shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Tatizo ni niniIngekuwa weekend ningeinyaka...
Tatizo ni niniIngekuwa weekend ningeinyaka...
Sema leo ni j.3 probability inaweza kuwa 40%.Sijui, ngoja tuone
Mjini shuleNdo mana ukawa unanizuga ili uidake eeeh?
Nakukubali zaid mkuu..Bila shaka waona tabasamu langu
Naelewa sana mkuu wala sihitaji
Tuition, humu nawafaham wasiopenda utani, nami sipendi kumuudhi mtu wa namna hiyo,
Wew nimekusoma uko poa sana makukubali
Nini kikubwa zaid ya pale kati patamu, patam tam...![]()
![]()
![]()
![]()
Tatzo siso nini kupewa, tatzo ni nafas gani alimilik ndan ya moyo wangu![]()
![]()




Una roho mbaya98k,bahati mbaya umeikosa
Hongera jirani zawadi yako ntakupitishia badae...![]()
![]()
![]()
![]()
Asante
Blue monday...mishughuliko ya hapa na pale si unajua.Tatizo ni nini
Nakukubali zaid mkuu..
Kituntufye cha salute sikion... Nataka nikupe salute moja nzito..
Mnakaribishwa woteMualike Quigley nae aje huko..
Nani ana stress wewe, mimi naishi maisha yangu ndan ya ndoto zake..Yaani kamletea makavel mastress ya kijinga![]()
![]()
![]()
![]()
Asante sana jiraniHongera jirani zawadi yako ntakupitishia badae...
Kakumwagia mboga, unamwagia ugali. Kama mbwai na iwe mbwai..Namjua ni Escariote, hapo nataka nimuharibie mission![]()

Si nae aje ajionee kuhusu ile ulivosema kwamba unajiopolea tu, nadhani hiyo ni fursa nzurMnakaribishwa woteView attachment 393987
Hivi hata mchana una unamwota swt pNani ana stress wewe, mimi naishi maisha yangu ndan ya ndoto zake..

Ndio...Kakumwagia mboga, unamwagia ugali. Kama mbwai na iwe mbwai..
![]()
![]()



That's it basi tena!!! i'm done.
.. Wish u all the best, daima utaishi moyoni mwangu..