shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Sweetiepie sijui alikupa nini aiseeNyinyi ndio mmenda mbali.. [emoji23] [emoji23]
Sweetiepie sijui alikupa nini aiseeNyinyi ndio mmenda mbali.. [emoji23] [emoji23]
Bila shaka waona tabasamu languMkuu huu ni muendelezo wa kile kinachoendelea ndan ya mjengo wa kf..
Ni utani tuu
Mie niko poa mkuu, sijui wewe..
Yaani kamletea makavel mastress ya kijinga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sweetiepie sijui alikupa nini aisee
Namjua ni Escariote, hapo nataka nimuharibie mission[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subir!! Anakukana sasa hiv.. Huyo ndio Quigley bhana, almaarufu kiboro zipu..[emoji85] [emoji85]
Uwiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makaveli is always there for you... Kasoro tu, jig jig.. Ntakuwa hapo kukusuport kwa kila hali.
Huyu kamfunika hadi BitozHii ni kata paja sio kata "k"
That's it basi tena!!! i'm done.Sahau mpendwa... Am a gentleman, simez maneno yangu mpendwa, lets live happily, sahau yaliyopita, ishi maisha yako nami naishi yangu.
AliensHuyo anaitwa nani
[emoji109] pamoja sana mkuuPambana joh.. Mengine yapo tu
Malipo mbinguni mkuu,sio hukuMungu atamlipia... [emoji57] [emoji23] [emoji23]
Mapendo tu. [emoji4]Sweetiepie sijui alikupa nini aisee
We naee!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kamletea makavel mastress ya kijinga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yatakukuta kama ya side mnyamwezi, kijana we endekeza ukiboro dinda wako tu.. Watu wataku.... Kama yule baunsa wa dully Sykes.
Anamuona haswaa...[emoji15][emoji15]Fundi aliyemsuka huyu dada Mungu anamuona aiseee[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Tumeamka salama, wewe je??Habar za asubuh, vip mmeamkaje ndugu zangu!?
Mwanamme una maneno weye...[emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mke hachungwi, mpe nafasi aoneshe kile alichokificha ndani ya mtima wake.. Akijambisha kapoteza nafasi, kadi nyekundu inamuhusu..
Tia kidochi.. Chi.. Chi.. Chii.. (Juma nature)
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Anamuona haswaa...[emoji15][emoji15]
Pole kwa red cardMwanamme una maneno weye...[emoji16][emoji16]
Kigli kajichanganya!!! [emoji3] akadhan shushushu ni Ke kumbe ME...mi nasemaga haya mambo ya kuangalia Avatar sio[emoji23][emoji23][emoji23]Nini tena jirani