Makapuku Forum

Pengine ni kweli usemacho braza lakin mapenzi ya kupendwa tu bila kupigania huwa hayanogi bana, endelea tu kukomaa mbona mtoto anakuelewa sana.. Quigley hawezi kuwa kizuizi namna hiyo afu cha kugombania siku zote ndo kitam man
Broo pigania basi unapopendwa.. Yaan mwanamke umfumanie na kidume kwako bado tu upiganie penzi.. Awe anakupenda kuna vizuiz hapo kati ndio una haki ya kupigania penzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…