sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
hii movement ni kwa ajili ya watu km hao hawana maana kabisa,,,mtu anajifanya anajua kila kituAmeniboa sana huyu
hii movement ni kwa ajili ya watu km hao hawana maana kabisa,,,mtu anajifanya anajua kila kituAmeniboa sana huyu
Haaa!Hakika unaonekana ni rafiki wa kudumu wewe naweza hata nikienda safari za kikazi nje ya nchi naweza kuacha ukalala na wife home huna shida hakika..
Ni kweli kabisa ndugu yangu na ntakuwa msikivu..sasa..Ck zote wachawi ndo wanaongea vizuri hadi utawapenda lakini uck wanakugeuka mkuu
Yohana anakwambia...usiamini kila roho bali zijaribuni kama zimetokana na Mungu
Inatia raha sana,kwakweli huu uzi unaniondolea stress kabisaNdo hivyo ndugu
Nataka hicho kilichokalia baiskeli dah.... Hatari sana huu ndio ugonjwa wangu huuunaitaka hiyo baiskeli nini arifu
Khaaa
We mwanaume unataka akusaidie kuniambia unanipenda
Utasaidiwa na vingine![]()
![]()

Wanasema nyota njema huonekana asubuhi..Haaa!
Ni kweli rafiki wa kudumu. Naheshimu sana ndoa yako my friendHakika unaonekana ni rafiki wa kudumu wewe naweza hata nikienda safari za kikazi nje ya nchi naweza kuacha ukalala na wife home huna shida hakika..
salamaa sana chief,,,habar ya weweSamoo nakusalimia mkuu
Hello samoohii movement ni kwa ajili ya watu km hao hawana maana kabisa,,,mtu anajifanya anajua kila kitu
Inaonekana umefurahia sana hapo..
Nimekumiss mpenzi wangu.hallo baby🙂🙂
Huu Uzi ni burudani tosha kabisaInatia raha sana,kwakweli huu uzi unaniondolea stress kabisa
Kuna dalili zozote unaziona jiranii..
Hata ukija siyo dhambi![]()
![]()
Huyo jamaa anasubiri mambo yetu yaende mlama ujueInaonekana umefurahia sana hapo..
Dah!Nimekumiss mpenzi wangu.

Atlast nimesha vuta kitu moja matata sana..Zaidi ya Wewe