lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Najua ila mm sihitaji spea....unajua hata kwenye gari kuna spea tairi, ina umuhimu wake ujue
Najua ila mm sihitaji spea....unajua hata kwenye gari kuna spea tairi, ina umuhimu wake ujue
Mkuu young blood we acha tu huo mzigo sio mchezoWewe utaishia kula kwa macho mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kapuku Mwenzangu njoo tupeane jotrooo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi sawa.
Hahaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Niko poa sana, naifurahia mvua na baridi mkuusalamaa sana chief,,,habar ya wewe
hunizid mimi babyNimekumiss mpenzi wangu.
Kweli kabisa,shukrani ziwafikie makapuku wote.Huu Uzi ni burudani tosha kabisa
Unataka kurusha ngumi???Inaonekana umefurahia sana hapo..
teh teh teh baada ya kumkosa nanihii umeamua uifurahie mvua tu sasa [emoji12] [emoji23] [emoji23]Niko poa sana, naifurahia mvua na baridi mkuu
Ataku[emoji379] [emoji379] [emoji378]hivo vingne mimi nipo nitamsaidia usijali
Wala..... Anaaminika kabisa, yuko commited kwa Lizzy tuKuna dalili zozote unaziona jiranii..
Hatari sana mkuu,kaza buti ukamate mmoja humu wamejaa tele.Mkuu young blood we acha tu huo mzigo sio mchezo
Hapana sijarusha ndoana popote mkuu nilikuwa nafuatilia mpambano wa mpendwaanuu tuteh teh teh baada ya kumkosa nanihii umeamua uifurahie mvua tu sasa [emoji12] [emoji23] [emoji23]
It isIt's an open forum isn't it?
Tairi ikipata pancha wafanyani???Najua ila mm sihitaji spea
Wewe sikupi hata mwanya wa kurushiana ngumi na wewe unaweza toroka na baby yaani wewe endelea kusubiri tu tengano kitu ambacho hakitatokea..Unataka kurusha ngumi???
Mdogo angu ...huyu shemej ako kimeooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Makapuku oyeeeeeeeeKweli kabisa,shukrani ziwafikie makapuku wote.