ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
TANGAZO TANGAZO
Kwa yeyote mwenye kuhitaji MUME kwa Mkopo nipo hapa. kikiisha kipindi hiki cha masika narudi kwangu.
VIGEZO
awe na mguu kama Wa Zari wa Diamond
macho kama ya cute b
kiuno cha nyigu kama cha Nahrene
na uani awe kama X wa diamond
MASHARTI
Ni lazima awe mbunifu na anayeweza kutumia kipaza sauti kuimba na hata kurap
mwenye sifa hizo Njoo hapa