ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
kuna mmoja kanuna mpaka kaingia mitini lakini kila ninapopita naona vijana wanazengeaIBRA fauloo hiii.....
kuna mmoja kanuna mpaka kaingia mitini lakini kila ninapopita naona vijana wanazengeaIBRA fauloo hiii.....
Safi kabisa. Za kwakoZa jioni wapendwa? Hii mvua balaa
Ck zote wachawi ndo wanaongea vizuri hadi utawapenda lakini uck wanakugeuka mkuuNi kweli ila anaonekana ana dhamira nzuri sana na couple hii mpaka sasa sijaona dalili zote mbaya kwa kweli ..
hivo vingne mimi nipo nitamsaidia usijaliKhaaa
We mwanaume unataka akusaidie kuniambia unanipenda
Utasaidiwa na vingine![]()
![]()
Nimerelax mkuu usiwe na shakaJust relax dawa ipo
Hii imrshakuwa magumashi
Poa tu, mzima?Za jioni wapendwa? Hii mvua balaa
Zaidi ya WeweNa wewe uliteseka kama mimi..?
Unajua baby si kwamba siwezi kusema ila ni aina ya kutangaza umiliki kila mtu aelewe tu.. jambilo yaani hata mate yako hayakauka tangu useme ule usemi angalia hii Th Name nimekubali ulikuwa mshenga ila kama una namba za wife naomba uzifute tena sasa hivi hii dalili si nzuri..Khaaa
We mwanaume unataka akusaidie kuniambia unanipenda
Utasaidiwa na vingine![]()
![]()
Hii mvua inashawishi kabisa.Za jioni wapendwa? Hii mvua balaa
Hakika unaonekana ni rafiki wa kudumu wewe naweza hata nikienda safari za kikazi nje ya nchi naweza kuacha ukalala na wife home huna shida hakika..
Ameniboa sana huyuni wa kumuignore huyo achana nae![]()
![]()
Sawa mkuu jambi-lo.
pamoja sana mkuuNdo hivyo nduguNimerelax mkuu usiwe na shaka
Nimekusoma mku Bitoz,uko poa lakini.
Hakika unaonekana ni rafiki wa kudumu wewe naweza hata nikienda safari za kikazi nje ya nchi naweza kuacha ukalala na wife home huna shida hakika..

Nani huyo?Ameniboa sana huyu