Ck zote wachawi ndo wanaongea vizuri hadi utawapenda lakini uck wanakugeuka mkuu
Yohana anakwambia...usiamini kila roho bali zijaribuni kama zimetokana na Mungu
Unajua baby si kwamba siwezi kusema ila ni aina ya kutangaza umiliki kila mtu aelewe tu.. jambilo yaani hata mate yako hayakauka tangu useme ule usemi angalia hii Th Name nimekubali ulikuwa mshenga ila kama una namba za wife naomba uzifute tena sasa hivi hii dalili si nzuri..