yechu yechu mkuuhahahaha nimekubali
Amwambie akiwa na akili timamu hatamuachaKumbe ndo plan yake hiyo?
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukrani kwake sana.
Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
Mama mkubwa
Thoomas
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee
Nafsi huru
hassandady
Shemtibuko
sumbai
mabesela
dog 1
aggyjay
Elly_corner
Teacher on duty
willy fredy
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
확실히지금 뭐 해
Mkuu na tangaza kwa sauti ili kila mmoja ajue ni utani hii ni kashfa kubwa sana unanitengenezea..Naimarisha mkuu, we mwambie huwa una matatizo ya tumbo ambalo husababisha upoteze funguo mara kwa mara (kuhara)
Ili akiingia ndani ajue tu kuna wakati huwa unahudhuria kule mara kwa mara..haha natania bhana
Bwana akiwa upande wako ni nani atakaye kuwa juu yako?Wow wacha sasa ni-relax kidogo baada ya mapambano makali ila bwana amekuwa upande wangu...
Amwambie akiwa na akili timamu hatamuacha
Akiachika leo hii ndo atajua kujiongezaKwa ajili yako kupigwa naona kama kutekenywa....infwakt nina blak belt ya tai chi.....nambie mtoto muzuri![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
utapigwa shauri yako
Hapo sasa![]()
Akiachika leo hii ndo atajua kujiongeza
Niongezee ni Warumi 8:31 hii mstari huu mara mingi hutumika baada ya kufanikiwa jambo ama kupata ushindi fulani...Bwana akiwa upande wako ni nani atakaye kuwa juu yako?
...malizia warumi hiyo mkuu
relax kijanawakuu mshagawana uongozi
Nimekukubali uko vizuri pande zile pia...Niongezee ni Warumi 8:31 hii mstari huu mara mingi hutumika baada ya kufanikiwa jambo ama kupata ushindi fulani...
baby wangu huyo asikupe tabu kabisa. Wewe umeona nyakati hizi watu wanatongoza kwa barua na maneno ya uongo kibao. Eti usiku silali ila nakuota. Kwani amekuwa mbegu au.
My love miss you sana

Mkuu Th Name pita upande huu check hapo juu ni salamu aliesalimiwa shemu wangu lizziebettie na matisho mengi kuwa ana belt sijui la nini...Niko tayar kukusaidia hii vita..Kwa ajili yako kupigwa naona kama kutekenywa....infwakt nina blak belt ya tai chi.....nambie mtoto muzuri
Hahahahahaaa anatongoza kibabu kweli. Inabid uumpe somo.
I Miss you husband, na hii mvua nakumis zaid bae.

ndugu vipi tena kuna shida au?
Naongezea...yeye asiye mwachilia mwana wake mwenyewe bali alimtoa kwa ajili yetu sisi, atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye?Niongezee ni Warumi 8:31 hii mstari huu mara mingi hutumika baada ya kufanikiwa jambo ama kupata ushindi fulani...