shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Haswaaa, Bila kupepesa machoNi mrembo kwakweli
Haswaaa, Bila kupepesa machoNi mrembo kwakweli
Kumbe Pinochet alikuwa zao la kupandikizwa1970 - Salvador Allende anachaguliwa kuwa Rais wa Chile.
Miaka mitatu baadae anapinduliwa katika kile kilichoitwa mapinduzi ya Kijeshi yaliyoungwa mkono na CIA na kumiweka madarakani kibaraka, General Agusto Pinochet.
Baada ya kupinduliwa Rais Allende alijiua kwa kujipiga risasi.
Kwakweli hilo nalo nenoTumshukuru mungu kwa kutuamsha salama
Google ya juzi ila imeushika ulimwengu1998 - Google yazinduliwa rasmi.
Na mimi nimejua leoKumbe Pinochet alikuwa zao la kupandikizwa
Happy Birthday mama Blue Ivy1981 - Beyonce Knowles anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Mke wa Jay Z.
Asante sana kwa historiaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa KF members, sina la ziada tukutane kesho!!
Karibu JJ kwa magazeti.
Jumapili njema!!
Yahoo ameishapotezwa kabisaGoogle ya juzi ila imeushika ulimwengu
yapDuuuh wapinga Kristo na kueneza Unazi mambo leo
......



.Hata wakishiriki ndondo cup watapigwa tuuSasa wanajamba sana
.......
Siku hizi haya mambo sio ya kushangaa
Aragones alikuwa fundi sana, ila pia tukubali credit ziende kwa Barcelona kwa kutengeneza msingi uliokuwa mzuri kwa klabu yao na timu ya taifa.Chini ya marehemu Algones, alikaa na hiyo timu muda mrefu sana mpaka kupata mafanikio hayo
PamojaAsante sana...!!