Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Hapo sawa,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hapo sawa,
Hakuwepo, alikwenda dukan, mie huku ndio nikatoka, nilimtumia msg nikaona imefeli nahis ni network, then nikamuachia kimemo mezan kumueleza niendako.. Naanzaje kuondoka bila kumuaga malkia wangu, wakat yeye hajawah hata siku moja kuondoka pasina kuniaga...Sasa kwanini huagi??
Ianuma kusema..Hii sasa sio fair.
Hatujasikia matokeo ya FT yawekwe tu kama yanavyowekwaga ya timu zingine
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaa.. Pole bitoz ndugu yangu
Hapa ni swaga tu, karibuDu!!! Mnajuana si habaa[emoji13][emoji108]
Huwa naweka picha za wasanii na video zao...! [emoji28][emoji28]Naona leo umeplay part zote.. Mpaka kwa bitoz mapicha, we mwanamke umeshindikana.
[emoji7]Romantic....
Nshamumiss chwiti pii wangu..
Mbona hivyo lakin! wanafanya nini sasa haoNigeria [emoji646]: [emoji646] Staz
Dk 75
........
Wabovu sio kidogoKumbe nao nigeria wabovu nlijua tunachezea nyingi leo
Kumbuka hao hawajambo kwa mandingo! [emoji250] [emoji250] [emoji250] [emoji250]Kweli hawajadiliwi mwee
CC: Jirani [emoji17][emoji17][emoji17]Dnt mention that idiot old man
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nipo mpenz.. Niende wapi kwako nimejikita kama tattoo..
Karibu..Du!!! Mnajuana si habaa[emoji13][emoji108]
Poa baby....karibu na pole kwa kauchovuNdio naelekea hiv nyumban shem.. Nilikuwa kwa mr shululu tunaangalia ball, nikaenda town kununua bidhaa kadhaa..
Kumbuka hao hawajambo kwa mandingo! [emoji250] [emoji250] [emoji250] [emoji250]
Kwani hamko pamoja?[emoji7]
Sawa my darling....lets make a night to remember[emoji173]Nilikuwa kwa mr shululu nachek game ya ac milan vs arsenal.. Nikaenda town kuchukua bidhaa kwa usiku wetu..