Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hakuwepo, alikwenda dukan, mie huku ndio nikatoka, nilimtumia msg nikaona imefeli nahis ni network, then nikamuachia kimemo mezan kumueleza niendako.. Naanzaje kuondoka bila kumuaga malkia wangu, wakat yeye hajawah hata siku moja kuondoka pasina kuniaga...
Huyu mtu kwa kujitetea na maneno matamu hajambo....ni shidaaa
 
Hakuwepo, alikwenda dukan, mie huku ndio nikatoka, nilimtumia msg nikaona imefeli nahis ni network, then nikamuachia kimemo mezan kumueleza niendako.. Naanzaje kuondoka bila kumuaga malkia wangu, wakat yeye hajawah hata siku moja kuondoka pasina kuniaga...
Okay ndo nimeiona memo sasa my love, nimependa uaminifu wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom