briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Ni kwema sana.. Karibu mkuuHapa kwema wakuu
Ni kwema sana.. Karibu mkuuHapa kwema wakuu
Dah si nilishasahau dia... Lakin usiwaze leo ntalifanyia kaz kesho ntakuja na jibu![]()
![]()
![]()
to the moon and back
Hivi hujapata namna ya kuweka audio??
Nilikuwa kwa mr shululu nachek game ya ac milan vs arsenal.. Nikaenda town kuchukua bidhaa kwa usiku wetu..Where have you been darling? i waited and waited and waited...dinner haina mvuto tena sasa.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Sasa kwanini huagi??Ndio naelekea hiv nyumban shem.. Nilikuwa kwa mr shululu tunaangalia ball, nikaenda town kununua bidhaa kadhaa..
Sana mpenz.. Nmekuletea naKatika hiyo List niliyoweka wimbo wa Love will conquer all unatuhusu bae.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
yake.Basi hakuna shaka, ila hamna haraka hata kama sio kesho ila fanyia tu kazi polepoleDah si nilishasahau dia... Lakin usiwaze leo ntalifanyia kaz kesho ntakuja na jibu
Kwema tu mkuu..Hapa kwema wakuu
Hii sasa sio fair.Full Time:
Matokeo ndo km mlivyosikia
***""""""""********
Hawatajwi..Kweli hawajadiliwi mwee
Hawatajwi..
Alex iwobi.
Hii sasa sio fair.
Hatujasikia matokeo ya FT yawekwe tu kama yanavyowekwaga ya timu zingine
Hii sasa sio fair.
Hatujasikia matokeo ya FT yawekwe tu kama yanavyowekwaga ya timu zingine

Nashuruku thhannaa..
Hizi huwa hazifichwi, ila madafu yamefichwa

Tumepigwa 1-0Hii sasa sio fair.
Hatujasikia matokeo ya FT yawekwe tu kama yanavyowekwaga ya timu zingine