shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kwema tu, kwa kupotea hujamboHapa kwema wakuu
Kwema tu, kwa kupotea hujamboHapa kwema wakuu
Ndio zetuTushapigwa 1
Iheanacho dk ya 77
...........
Niko poa shululuKwema tu, kwa kupotea hujambo
Uwanja ulikuwa nyomi..
Tziiiiiiiiiii ni shidaNdio zetu
Namuona kanu nwakwo, marc overmars, kolo toure.
Martin keown, beki kisiki..
Fredrick Ljungberg, ian wright, robert pires.
Dnt mention that idiot old manWenger yuleee![]()
Nipo mpenz.. Niende wapi kwako nimejikita kama tattoo..Useme wewe....mimi Makaveli sijui hata katorokea wapi eti Shululu huyu mtu yupo huko???
Nilienda nunua vifaa supermarket special kwa usiku wa leo na mama watoto wangu..![]()
yuko na washikaji tu wanapata moja moto moja baridi
Ebhana eehh.. Ilikuwa bonge ya game..Tulikuwa naye tunaangalia maveterani wa arsenal
Nimerudi baby tuyajenge sasaSasa urudi nyumbani basi, maana nyumba imekuwa kubwa sana peke yangu
Ndio naelekea hiv nyumban shem.. Nilikuwa kwa mr shululu tunaangalia ball, nikaenda town kununua bidhaa kadhaa..Unatafutwa sana na pacha
Ewaaaaa kumbe we sio mkaidiNimerudi baby tuyajenge sasa
Hadi huruma jamani........ Sasa huo ushindi mpeni Wenger aongeze kule kwenye timu kubwa
