makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,597
This night itakuwa hatari.. Mtoto atakaepatkana leo, atakuwa so special..Oooh woow thanks luv wange jamani. Tutaiplay usiku huu hiyo
This night itakuwa hatari.. Mtoto atakaepatkana leo, atakuwa so special..Oooh woow thanks luv wange jamani. Tutaiplay usiku huu hiyo
Ndio...lakini si ulikuwa naye eeh au mnachek game?? according to yeye anavyosema.Twins wako ndio anastahili kulianzisha?
Pole, wewe jirani unaweza kumdhamini masai kabisaNimeborekaje sasa!!
Sijitetei mpenz.. Angalia mezani utakuta kikaratas nilichokuachia ujumbe.Huyu mtu kwa kujitetea na maneno matamu hajambo....ni shidaaa![]()
Nilikuwa naye, hilo halina mjadalaNdio...lakini si ulikuwa naye eeh au mnachek game?? according to yeye anavyosema.
Mpenz una lips tamu sana..sichoki kuzinyonya
Head crazy kujisemea BitozPole, wewe jirani unaweza kumdhamini masai kabisa
Taifa star unaiamini kabisa!!!!
Naona sasa ataamini.Nilikuwa naye, hilo halina mjadala
Aksante ati!!!Karibu..
Naona!!!! Aksante pia!!!Hapa ni swaga tu, karibu
Nilikuwa mguu nje mguu ndani...naona hisia zangu zimetimia!!Pole, wewe jirani unaweza kumdhamini masai kabisa
Taifa star unaiamini kabisa!!!!
Tanzania hii usidhamini mchezo wowote uleNilikuwa mguu nje mguu ndani...naona hisia zangu zimetimia!!
Sasa sio hadharani hivi....mweeeeer!!Mpenz una lips tamu sana..sichoki kuzinyonya![]()
![]()
![]()
(Tukiwa ndan ya kumbato)


Ni kweli aisee mwishowe unaaibika!!Tanzania hii usidhamini mchezo wowote ule



Nawe piaGood night family sasa ni saa yangu ya kulala....
Tuonane kesho.
Good night family sasa ni saa yangu ya kulala....
Tuonane kesho.