SwadaktaaaI see... Basi tukutane hapo kunako
100k
Wenger yuleee

Sasa urudi nyumbani basi, maana nyumba imekuwa kubwa sana peke yanguNdo hapo huwa nawehuka kabisa mpnz
Useme wewe....mimi Makaveli sijui hata katorokea wapi eti Shululu huyu mtu yupo huko???Sasa urudi nyumbani basi, maana nyumba imekuwa kubwa sana peke yangu
100% true!!!
Arsenal wako poa sema basi tu fitnaNimeangalia waveterani wa arsenal na Ac Milan, Kanu na Pires wamenikumbusha mbali sana, arsenal wameshinda 4_2
Asante sana... Na nimeudedicate back wimbo huu huuAiskize Jimena wangu hii![]()
Chama la Wana hilo
We call it real loveWote mmedediketiana dabo aisee....
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita!Nimeangalia waveterani wa arsenal na Ac Milan, Kanu na Pires wamenikumbusha mbali sana, arsenal wameshinda 4_2
Useme wewe....mimi Makaveli sijui hata katorokea wapi eti Shululu huyu mtu yupo huko???
yuko na washikaji tu wanapata moja moto moja baridiTulikuwa naye tunaangalia maveterani wa arsenal![]()
yuko na washikaji tu wanapata moja moto moja baridi
Hakika mkuuNyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita!
Hizo ndio nzur zaidCoin zimeniishia labda noti![]()
Hadi huruma jamani........ Sasa huo ushindi mpeni Wenger aongeze kule kwenye timu kubwaNimeangalia waveterani wa arsenal na Ac Milan, Kanu na Pires wamenikumbusha mbali sana, arsenal wameshinda 4_2
Unatafutwa sana na pachaHizo ndio nzur zaid