Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,513
- 40,619
Ntakuwa pale chobingo nakusubiri[emoji39]Ntaileta usiku.
Ntakuwa pale chobingo nakusubiri[emoji39]Ntaileta usiku.
Mutu ya kongo...[emoji124] [emoji124] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji445]
[emoji15] [emoji125] [emoji100]Jitambue tujue uko upande gani
Kizabizabina..Kivuruge wa ndoa yangu! [emoji28][emoji28][emoji28]
And I love thatWorry out.. U'll always be happy BAE [emoji173]
Mutu ya Kongo imekimbia tzii, ipo kwa jirani huko nairoberiaMutu ya kongo...
You are my only hubby!! hizi ni bumping roads tu, i am yours[emoji7][emoji7][emoji9][emoji9]...i'll be loving you for a long time.Kama anakupenda atasema, n ni ruksa pia kumchukua, sikuumbwa kuteseka dunian, wala sikuumbwa kuumizwa na mapenz.. Niliumbwa niinjoi maisha nifaidi vile mungu alivyoumba kwa ajili yangu, ask her, kama anakupenda u r free, bt utasubiri kidogo nimrudishe nilipomchukua then utaenda kumchukua huko..
Go on boi ask her.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka sanaaaaaaaUna moyo.. So huyu ndio alikuwa mumeo mtarajiwa.. Ungekufa kabla ya siku zako kwa kweli.. Mwanaume ana nongwa kama mtoto wa mganga..
Tatizo hawaelewi ujirani wetu umeanzia wapi! [emoji23][emoji23]Jirani yangu huyu wa ukweli na tunaheshimiana sana
Wote tunapanda nyehunge [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Huhuhuuuu-in Joti's voiceUnanitorosha 123 akirudi unanipiga madongo kwa kunikana!! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na hawawezi kujuaTatizo hawaelewi ujirani wetu umeanzia wapi! [emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2] mbona unajimilikisha mpenzi wa mtu?Huna ujanja, mwisho wa gemu mke ni wangu, sukari yake mie
Hii michezo nayo mweeeeer, sema inapeleka uzi sasa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakika nimecheka hadi basi
Mkuuu
Mchezo huuuu
Hauhitaji
HASIRAAAAAAA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BaelezeePole shemeji
Ila usiwe unafanya hivyo maana utawakasirisha briz na Sweetiepie kitu ambacho hakipendezi
Haroo we ni rigaidi! Haiwezekani umteke hivyo hiro ribintiMutu ya kongo...
Ndiyo maana ya kapuku[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka sanaaaaaaa
Huu mchezo hauhitaji hasira [emoji1] [emoji1] [emoji1]Oohh.. My gosh.. Jimena ukuje usikie huku kinachoendelea, shululu, briz, patience, Mussolini, bitoz n.k
Jamani Zuku wamekata aisee....daaah [emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24]Leo ni top 50
Haya nimekusamehe mme wangu.Kwa sahavu..halaf si lipsi zangu ziligusa shavu yake.. Ni shav yangu iligusa shavu yake..
In kenyan pronounciation