Makapuku Forum

Makapuku Forum

Obomber[emoji1] [emoji1]
1472899785422.jpg
1472899790889.jpg
1472899798419.jpg
 
UNAJIFUNZA NINI HAPA??

Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.

Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke wake na wote wakasema hakulala kwao.

Siku iliyofuata mme nae akalala nje, aliporudi nyumbani mke akamuuliza ulilala wapi. Mme akasema nililala kwa rafiki yangu wa kiume.

Mke akawapigia simu marafiki 10 wa mme wake. 8 walikubali kuwa kalala kwao na wawili ndo wakaua kabisa wakasema eti hadi sasa bado yupo hapa tunakunywa break fast.

WANAUME KOKOTE MLIKO AGIZENI BIA NITALIPIA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha...Hatariii
 
Hahaha [emoji38]
 
Acha undezi ht JWTZ kirefu chake hujui watu=wananchi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.............
Hahaa...[emoji23] [emoji23]

Kwahyo unataka kusema himena himenes ni ndezi..[emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86]

Hapana kwa kweli napinga kwa nguv zote kuliko za ukuta, shemej yangu hawez kuwa ndezi..[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom