makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,979
- 104,442
Sasa huyo alizaa mwanae au alimzaa mdogo wake!!

Sasa huyo alizaa mwanae au alimzaa mdogo wake!!

Weka pichaUjana tu ht mimi Sekondari nilikuwa Fellaini mdogo
![]()
![]()
![]()
...............
Hivi anapata hata muda wa kukumbushia kweli,
DuduChezea dyudyu
Alikuwa anajaribu
![]()
![]()
![]()
........
WelikamMakapuku nimekuja na mimi
World cup ile ronaldo hakupimga tobo, ila alitunguliwa goli moja na mwingine mpira ulimpolonyoka ronaldo akamlziaMwisho akapigwa tobo na Ronaldo World Cup km sijakosea
.......
Karibu sanaMakapuku nimekuja na mimi
Sijui niende huko..

Kama vile wewe Bitoz...

Salute kwa wanaume wote!UNAJIFUNZA NINI HAPA??
Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.
Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke wake na wote wakasema hakulala kwao.
Siku iliyofuata mme nae akalala nje, aliporudi nyumbani mke akamuuliza ulilala wapi. Mme akasema nililala kwa rafiki yangu wa kiume.
Mke akawapigia simu marafiki 10 wa mme wake. 8 walikubali kuwa kalala kwao na wawili ndo wakaua kabisa wakasema eti hadi sasa bado yupo hapa tunakunywa break fast.
WANAUME KOKOTE MLIKO AGIZENI BIA NITALIPIA.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


Niambie laazizi..
Hamna, tunapendanaWaongo mno

Calm down sweetSalute kwa wanaume wote!![]()

Mukongo upoCalm down sweet![]()
Ahaaa nilidhani wapenzi kumbe wapendhi!!!Nimeamka mpendhi!!!
Acha uzembeHahaa...![]()
![]()
Kwahyo unataka kusema himena himenes ni ndezi..![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana kwa kweli napinga kwa nguv zote kuliko za ukuta, shemej yangu hawez kuwa ndezi..![]()
![]()
![]()
![]()