Makapuku Forum

Makapuku Forum

1977 - Olof Melberg anazaliwa.

Ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa klabu ya Aston Villa na timu ya taifa ya Sweden.

Anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika uwanja mpya wa Arsenal wa " Emirates " katika mechi ya kimashindano.

Ilikuwa ni Arsenal Vs Aston Villa kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi 2006-07.
Cc jimena
 
1979 - Julio Cesar anazaliwa.

Ni kipa wa zamani wa Inter Milan, QPR na Benfica.

Alikuwepo kwenye kikosi cha Brazil kilichoshiriki kombe la dunia nyumbani mwaka 2014.
1472881165636.jpg
1472881170853.jpg
1472881174703.jpg

HBD
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom