Makapuku Forum

Hilo nalo neno lakini
 
MZEMBE; Mambo Rehema?
REHEMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka Nikuonyeshe!!
REHEMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako..
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
REHEMA; Ok, Nionyeshe..
MZEMBE; Ona Mwenzio
Nimenunua Saa
Yakuwakawaka.
 
Jirani Kuna chanel za TV zipo zuku, magic TV,smash TV,kerang TV,hits TV na MTV base, Sasa ondoa hiyo MTV hizo nyingine kwa music ni shida, hasa magic ya wamarekani Sina cha kuwaelezea ila kifupi wako vizuri
Wewe ni jirani mzuri sana nashukuru kwa kuniambia hiii yani tangu nione siku ile umenunua tu mbona mi fasta tu...nikatafuta hiyo Zuku Magic ndio hatari wana miziki ile ile yenyewe na wanapiga sana hadi top 100. Kumbe na Smash, Kerrang na Hits tv pia? ngoja nianze kufuatilia. Thanks
 
Sasa Mukongo ulitaka Mzembe afanyeje si alitaka Rehema aone saa yake ya Kimwekumweku au?!!
 
Nazikubali sana hizi chanel, hits niya uingereza wanapiga sana nyimbo za uingereza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…