Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
AsanteIjumaa kareem waungwana!!
Jaman sasa hii ni too much had sambusa!!
Mishahara tu kuongezwa sijuiNi shida... Naskia hazina nako hela haitulii inapita kama kwenye pipeline
UmemixYaani wewe Briz humfaham huyu binadamu kweli anaweza kushtukiza ukabaki mdomo wazi...si unaona mambo mengi yanayofanyika ni by surprise tu au huoni shem lake?
Ndiyo maana ya movieHii jamii inatudanganya sana movie zao...mtu kapigwa ngumi hata kifuani haijagusa keshaanguka chini..mambo gani hayo
Alikuwa anatania tuu..Mambe mengi mme wangu hadi basi, poa tufanye twende kwa wakwe nimewamiss sana kwakweli...kuhusu mama jana tu nimeongea nae jamani lol...unajua anakupenda sana nadhani alikuwa excited tu kuongea na wewe.
Kila siku zinakuja kivingineAsante kwa Did you know..
HAZINA km jina lake yaani akaunti HAZINA fedhaNi shida... Naskia hazina nako hela haitulii inapita kama kwenye pipeline
Tofautisha kukurupuka na kushtukizaYaani wewe Briz humfaham huyu binadamu kweli anaweza kushtukiza ukabaki mdomo wazi...si unaona mambo mengi yanayofanyika ni by surprise tu au huoni shem lake?
Msalimie sana Mr. Shululu...kwan ashatoka job mida hii?Alikuwa anatania tuu..
Sasa acha niende kwa jirani yetu mr. Shululu, ila ukitaka kuandaa chakula cha jion, utanishtua tuje kupika mama watoto.. Byee cwt.
Kisskwenye paji la uso.
Nini jirani...Umemix
Mi napenda zaidi movie za katuni,za kutisha sana na za vichekeshoHii jamii inatudanganya sana movie zao...mtu kapigwa ngumi hata kifuani haijagusa keshaanguka chini..mambo gani hayo
Duniani copy & paste ht Vingongo vimekopi Kapuku ForumJamani my childhood favourite Cartoon Kimba the white Lion!!, kumbe hawa Lion King waliiga?!..sikugundua hilo aisee.
Nilikuwa ni mimi, na sio briz, uliyemnukuu kwenye hiyo postNini jirani...
Dooh amakweli nimemix jiraniNilikuwa ni mimi, na sio briz, uliyemnukuu kwenye hiyo post
Karibu jiraniAlikuwa anatania tuu..
Sasa acha niende kwa jirani yetu mr. Shululu, ila ukitaka kuandaa chakula cha jion, utanishtua tuje kupika mama watoto.. Byee cwt.
Kisskwenye paji la uso.