Alikuwepo katika Uholanzi kali iliyotisha Ulaya katika miaka ya mwisho ya 1980's
Hapo walikuwepo na wachawi wengine wa kidachi kama Frank Rijkaard, Ronald Koeman na Marco Van Basten huyu tulivaa hadi suruali zilizoitwa Van Basten.
Uholanzi hiyo ilitikisa Ulaya kwa total football. Walichukua ubingwa wa Euro 88.