makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,597
Kuangusha sidhan, sikumbuk lini niliangusha, na kwa ubebaji wangu wa pesa hata nikiangusha ngumu kugundua ila kuibiwa ndio mara nying, zaid, last time kaja ndugu yangu tumechangia baba.. Kanipiga karbia laki 4 hv.. Nahisi alikuwa anachota kidogo kidogo kuja kugutuka imebaki laki 4kwan hizo hela unazipoteza kwa kudondosha ama?
Ameisha litambua hiloJJ anahusika huko
Jirani una kumbukumbu nzuri sana weweNa jimena akakuachisha kazi
Siendi wala
Hapo sawa myHahahaa kwa hilo usipate tabu honey wangu, mchana ntakukaribisha lunch hapa kwa picha afu utaniambia kama wako vizuri ama tubadilishe chimbo
Uncle na wewe unapasha viporo vya nini??Na jimena akakuachisha kazi
Labda..Chuma ulete
Yaani...Mapenzi tu..i do it for love
Mbona humu humu!!Ndoa ilifungwa lini
Mh bas utakua na nyota ya hela wewe.. yan hata konda hakuiona kabisa hiyo?Watu hawaangushi, kuna siku pia niliokota sh 900 noti ya 500 na mia mia 4 ilikuwa kwenye seat daladala ya mwenge posta, ila sijawahi kuhadithia mtu naonaga aibu maana ni ndogo sana
Hiyo ni kama miaka 5 au 6 iliyopita
Weka pichaNimeachaga kuokota hela, nawaachiaga wengine
Nashukuru mpenz.. Unafanya nikupende maradufuSiendi wala
Hamna Twin mweehEti kwangu
Huyu pacha atakuwa ametumwa
Makaveli, ni jimena kwenda iringa na si mimi na jirani yanguMdogo wangu tusitenganishwe na mtoto wakat mitumbwi ipo
Mrembo yupo hapa, wewe upo na mimi nipo.. Tumuulize tu moyo wake upo wapi kwa sasa akisema anakuzimia wewe mimi sina kinyongo ntamruhusu, akisema mimi nawe pia utupe tu greenlight joh..
Sio unazunguruka utafikiri kona ya mlevi bhana, mpaka ashike ukuta.
Weka pichaHana ujanja
Ok, lakin ye deep down anaelewa vile namzimia sidhani kama hyo ilimpa shidaJJ....ulivyojibu pale mweeh
YaaniUncle na wewe unapasha viporo vya nini??
Nilichogundua baby alikosea ku quoteMakaveli, ni jimena kwenda iringa na si mimi na jirani yangu
Sweetiepie ni jirani yangu wa ukweli
Sio bure... Lakin baby ake si unaelewa vile mi napata kihoro juu yako?Eti kwangu
Huyu pacha atakuwa ametumwa