Makapuku Forum

Sasa mi sijaokota hata mia since then sa sijui ndo sina bahati ama watu wamekua wachumi sana
Watu hawaangushi, kuna siku pia niliokota sh 900 noti ya 500 na mia mia 4 ilikuwa kwenye seat daladala ya mwenge posta, ila sijawahi kuhadithia mtu naonaga aibu maana ni ndogo sana
Hiyo ni kama miaka 5 au 6 iliyopita
 
Hii nayo ni kali zaidi aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…