Makapuku Forum

Makapuku Forum

1962 - Nchi ya Trinidad and Tobago yapata Uhuru wake.
1472627982918.jpg
1472627986598.jpg
1472627990562.jpg

Naijua 7bu ya Dwight Yorke tu
......
 
1997 - Princess Diana anafariki Dunia pamoja na Dodi Al Fayed huko Paris katika ajali ya Gari.

Wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa na MI5 ( Shirika la Ujasusi la Uingereza ). Hiyo ni kutokana na Princess Diana kuwa na mahusiano na mwarabu wa Misri Dodi Al Fayed ambaye alikuwa mtoto wa Mfanyabiashara na mmiliki wa klabu ya soka ya Fulham Fc ya London.

Ikumbukwe Diana alikuwa ni mtalaka wa Prince Charles mtoto wa Malkia Elizabeth wa Uingereza.

Aliacha watoto wawili aliozaa nao na Prince Charles ambao ni Prince Harry na Prince William.

Kifo chake kiligusa wengi sana!!
 
1997 - Princess Diana anafariki Dunia pamoja na Dodi Al Fayed huko Paris katika ajali ya Gari.

Wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa na MI5 ( Shirika la Ujasusi la Uingereza ). Hiyo ni kutokana na Princess Diana kuwa na mahusiano na mwarabu wa Misri Dodi Al Fayed ambaye alikuwa mtoto wa Mfanyabiashara na mmiliki wa klabu ya soka ya Fulham Fc ya London.

Ikumbukwe Diana alikuwa ni mtalaka wa Prince Charles mtoto wa Malkia Elizabeth wa Uingereza.

Kifo chake kiligusa wengi sana!!
1472629125774.jpg
1472629135243.jpg
1472629141080.jpg
1472629147306.jpg
1472629153014.jpg
1472629157400.jpg

RIP beautiful Princess
.........
 
Sina la ziada kutoka katika Historia, Kwa udhamini mnono wa Princess Diana.

Tumekamilisha Mwezi wa August, mwezi ambao viongozi wengi wamezaliwa. Tukutane kesho kwenye UKUTA mkiona kimya mjue ndio hivyo tena.

Pia leo ni siku ya mwisho ya dirisha la usajili barani Ulaya " Transfer Deadline Day, hivyo kwa sisi wapenda soka leo tutakuwa bize na hilo.

Byeee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom