Makapuku Forum

Makapuku Forum

1472645837830.jpg
 
Sina la ziada kutoka katika Historia, Kwa udhamini mnono wa Princess Diana.

Tumekamilisha Mwezi wa August, mwezi ambao viongozi wengi wamezaliwa. Tukutane kesho kwenye UKUTA mkiona kimya mjue ndio hivyo tena.

Pia leo ni siku ya mwisho ya dirisha la usajili barani Ulaya " Transfer Deadline Day, hivyo kwa sisi wapenda soka leo tutakuwa bize na hilo.

Byeee!!
Asante mwenyekiti tukutane kesho..
 
Kwakuwa mimi pia nina uzoefu wa kazi za ndani na hatuna mtoto bado, huyu kwa sasa atusaidie kuuza kwenye lile duka letu la nguo kule Mwenge maana yule sharobaro anazingua au unaonaje?
Mie nilitaka nikupunguzie kazi za ndani sababu nataka nikuongezee kazi ya kusaka mtoto, ndio maana...

Ila hamna tatzo kama unaona hvyo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom