Nikipata muda nitakuwa naandika halafu nazisevu.......lakini napendekeza anayeweza akurithi coz mimi nina ishu nyingi KFAu ikiezekana ihamishe mda, au ipeleke weekend, au uwe una zitoa kidogo kidogo mpaka ziishe
Options nyingi sana mkuu
Kumbuka hadi wasio Makapuku husoma ishu zako .....kifupi ziliwagusa wengiNime furahishwa sanaa the way mlikuwa mna appriciate nnavo vifanya hapa , mimi ntawa miss sana wakuu
Endelea na ule utaalam wako wa kupiga pande zote zote
Halaf Nlishndwa ku keep ahadi ya Nixon lakin uamuzi huu siku tegemea kama leo uta fanyika so
I hope uta fuatilia mwenye vizuri
Thts why nlijoin hapa, mkuu good by endelea kuwa mtu makini hvo hvo kaka
Happy birthday King1958 - Michael Jackson anazaliwa.
Alikuwa ni mfalme wa muziki wa pop Duniani.
Ni mmoja wa wanamuziki bora wa wakati wote kuwahi kutokea Ulimwenguni.
Anashikilia rekodi mbalimbali kama vile Albam iliyouza nakala nyingi zaidi duniani ni Albam yake ya Thriller.
Alijibadilisha rangi toka mweusi mpk kuwa mweupe.
Alifariki Dunia mwaka 2009 lakini Jina lake litaishi miaka mingi sana.
Umeprove U are a good person
..............................
Nshukuru sana prezda (nlikuita hvo kipindi nakuja leo nnavo ondoka naomba unruhusu tuu nitumieNikipata muda nitakuwa naandika halafu nazisevu.......lakini napendekeza anayeweza akurithi coz mimi nina ishu nyingi KF
lkn ikishindikana nitazileta mwenyewe
...................
Shukrani sana kwa historiaKwa hisani kubwa ya MJ - Michael Jackson, sina la ziada tukutane kesho.
Byeee!!
I will miss you more
All the best shemeji
May our Almighty God be with you
Dah.. Usijali kaka umemuacha katika mikono salama..
Wish you all the best kaka.
It was Short moment yet so painfull to endKila la heri Mkuu!! Ubarikiwe sana.
Dah, huzuni. Poa Mkuu!!Nime furahishwa sanaa the way mlikuwa mna appriciate nnavo vifanya hapa , mimi ntawa miss sana wakuu
Endelea na ule utaalam wako wa kupiga pande zote zote
Halaf Nlishndwa ku keep ahadi ya Nixon lakin uamuzi huu siku tegemea kama leo uta fanyika so
I hope uta fuatilia mwenye vizuri
Thts why nlijoin hapa, mkuu good by endelea kuwa mtu makini hvo hvo kaka
Ntaweka wimbo wake kabisa.Kabisa, Neno moja kwa MJ
Mi naishia hapoNshukuru sana prezda (nlikuita hvo kipindi nakuja leo nnavo ondoka naomba unruhusu tuu nitumie)Wana KF ni watu poa sana yaan nadhani nyie ni watu wazuri mara kumi yangu.
Yes segment inahitaji utayari, na muda mengne yoote mtu anaye ya weza akipendekezwa ata master tuu
Muhimu, usalama wa taifaMbona unajihami tena
miaShukrani sana kwa historia
Yy hajashtuka anazurura tuJimena jamaa yetu anaondoka aisee.
Sawa, naisubiriaNtaweka wimbo wake kabisa.
Ni kweli ziligusa watu wengi, mimi nilikuwa nafanya kazi mahari, nikakuta watu wanasimuliana jinsi watu walivyokuwa wanauwawa Enzi hizo na kuoneshana picha, mimi nikawa nawacheki tuKumbuka hadi wasio Makapuku husoma ishu zako .....kifupi ziliwagusa wengi
...........
Mi napenda zoteeeKusherehekea siku ya kuzaliwa ya MJ, zipi ni nyimbo zake kali tatu unazozikubali toka kwa mfalme huyu wa Pop?
Uchochezi tu wa dikteta mussoJJ wa mchangani!!!
Majina yao saaasaFinidi George.
Victor Ikpeba
Sunday Oliseh
Uche Okochukwu
Nigeria walikuwa na Golden Generation ya hatari sana!!