Makapuku Forum

Nimekukubali sana....kuaga ni jambo la kheri hasa km uliishi vizuri na watu
Ht mimi majukumu yameanza kunitinga na km siku naachana na Jf nitaaga(but sitegemei km itatokea labda pumzi ikate)
..................
 
Briz yupo offline week ya pili sasa
Km asipopatikana mjanja wa kuendeleza nitajaribu mimi
Km mzembe fulani niliyeendeleza segment yake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mweeer!!

Ila wewe una weza, kama vipi iendeleze tuu mkuu
Hii ni mali ya hapa hapa
 
Shemejiiiiiiiii
Waenda wapi tena???
 
Nimekukubali sana....kuaga ni jambo la kheri hasa km uliishi vizuri na watu
Ht mimi majukumu yameanza kunitinga na km siku naachana na Jf nitaaga(but sitegemei km itatokea labda pumzi ikate)
..................
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo ki ufupi jf ita kuaga wewe

Nimeona kupotea kimya kimya siwatendei haki ndugu zangu pia sjitendei haki mie pia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mweeer!!

Ila wewe una weza, kama vipi iendeleze tuu mkuu
Hii ni mali ya hapa hapa
Tatizo muda......ni segment muhimu yenye kuelimisha na maujanja kibao
Binafsi nilikuwa kila ukipost ww au Mussolini naingia kwenye net kujionea au kujifunza zaidi
..................
 
Wahenga waliwahi kusema hakuna marefu yasiyo na ncha. Pia kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.

Nichukue nafasi hii kukushukuru kwa time yako ya kushare vitu mbalimbali hapa Jukwaani, japo hatujuani lakini tumezoeana ndani ya muda mfupi kama ndugu.

Kila la heri katika majukumu yako mkuu, jina lako litaishi hapa KF kwa muda mrefu.

Goodbye the saddest word!! Celine Dion hakukosea. Goodbye Mkuu!!
 
Nime furahishwa sanaa the way mlikuwa mna appriciate nnavo vifanya hapa , mimi ntawa miss sana wakuu
Endelea na ule utaalam wako wa kupiga pande zote zote[emoji3]
Halaf Nlishndwa ku keep ahadi ya Nixon lakin uamuzi huu siku tegemea kama leo uta fanyika so
I hope uta fuatilia mwenye vizuri

Thts why nlijoin hapa, mkuu good by endelea kuwa mtu makini hvo hvo kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…