Makapuku Forum

manuu analalamika huku, muonee huruma
Ni kweli tena mwambie namzmia ile mbaya na hata juta akinukubali kuwa na mimi..Haiwezekani mtoto mwenye sura nzuri hivyo awe na mtu asiye mjali yaani mimi hapa kila siku lunch juu yangu..Jioni usafir hadi home juu yangu ..Haoliday yaani akisema Yes tu..Nafanya booking tukapumzike kwenye mbuga za serengeti..Umenikubali amaizing
 
manuu acha habari za lunch na holiday tupa Kule.
Gar IPO au?? Namaainisha kadi iandikwe amaizing
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…