amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Asante..Wazima karibu
Asante..Wazima karibu
Nilimwambia aje kuchukua hapa ofisini kwangu.Muazime asipitwe
aiseee, yaishe..![]()
![]()
nitamuambia akushushe shipa
![]()
![]()
![]()
![]()
Usikubali mshoboko tafadhaliAsante..
Nilipewa list ya Masingle boy huku na list ilisoma hivi Manuu, peterchoka ,mshana jr pamoja na ibra87 kumbe peterchoka keshapata mwenza...peterchoka yupo na aggyjay
Mshoboko wa nini tena ndugu yangu????Usikubali mshoboko tafadhali
Nilipewa list ya Masingle boy huku na list ilisoma hivi Manuu, peterchoka ,mshana jr pamoja na ibra87 kumbe peterchoka keshapata mwenza...
peterchoka si single boy tafadhali SanaOk kwa kuanzia nenda kamweleze kuna mkaa anaitwa Manuu anamsabai...Then umchek respond yake ikoje..![]()
namjua
Basi sawa.Mshana Jr alisema si vzur kuita mihangaiko![]()
![]()
Kaz ni salama kabisaaa
Hebu cheki na amazing kwanzaOk kwa kuanzia nenda kamweleze kuna mkaa anaitwa Manuu anamsabai...Then umchek respond yake ikoje..

peterchoka anaye wa kubangaiza siku mbili tatu, naye anaitwa Linamo.Nilipewa list ya Masingle boy huku na list ilisoma hivi Manuu, peterchoka ,mshana jr pamoja na ibra87 kumbe peterchoka keshapata mwenza...
Akuu naogopaManuu anatafuta mwenza![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Muulize akuambie maana naona kiherehere chake.Mshoboko wa nini tena ndugu yangu????
HahaaaaaMuulize akuambie maana naona kiherehere chake.

powaa za kwakoMmeshindaje humu ndani???
Ni poa sana mkuupowaa za kwako