Makapuku Forum

Makapuku Forum

1472401775214.jpg
 
Ngoja nikaombe ruhusa kabla hujani hug....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naomba uombe kabisa na ruhusa ya nyongeza baada ya hug.. Maana nakupa hug la kumlaza mtu icu.

[emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125]
Ngoja nikaombe ruhusa kabla hujani hug....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naomba uombe kabisa na ruhusa ya nyongeza baada ya hug.. Maana nakupa hug la kumlaza mtu icu.
 
Sweetiepie na patience123 nyie ni dada zangu, nawashukuru kwa uelewa wenu kuwa huu ni utani tu, japo huwa inaumiza kidogo ukipigwa kijembe hadharani.
Ikiwa yupo aliyeguswa na utani huu namwimba radhi, ninawaheshi
As dada zangu na sio vinginevyo.
Mmbarikiwe sana na nawapenda sana watu wangu
MAKAPUKU
asante kwa posts zenu na hii ni njia pekee ya kuufanya uzi huu kuwa kileleni kwani tukikosa cha kuchangia huu uzi hautapaa.
Mbarikiwe nawapenda sana
Kwani umechukia bae, mimi niko poa sana, wala sijaguswa kwa chochote, naielewa sana KF, so you don hav to worry beibe.. Niko social kuliko unavyofikiri... Mm hata mtu akinitukana poa tu.. Kwa hiyo usjali QUIGLEY
 
Back
Top Bottom