Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Jamn nipo hapa
Nami nilihitaji kuuliza...mahaba ya timu haya nayoMatokeo vp ya yanga
Ndio maana nakupenda dadangu kipenziBasi ngoja tu niwaletee Old is ever Gold siwez wakatili na weekend hii na mambo ya ajabu. Itawajia hivi punde family
Asante jiraniNitakuja jirani, kwa hilo usihofu kabisa
Pia nawe karibu
DuhJamn nipo hapa
SawaNtapika Tambi mayai nadhani muda umeenda haitochukua muda kumaliza
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Good girl
Huu mchezo hauhitaji hasira