Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Shululu...sasa huu ujirani gani hata hatutembeleani siku moja moja huwe unapita kunisalimia kwangu. RuksaHapo sawa
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Shululu...sasa huu ujirani gani hata hatutembeleani siku moja moja huwe unapita kunisalimia kwangu. RuksaHapo sawa
Mkuu taratibu na hawa viumbe, unapowavunja moyo huwa wanaumia kiukweli.Aaaah
Sasa mkuuu
Umenivunja moyo jitihada zangu
Nitakuja jirani, kwa hilo usihofu kabisaShululu...sasa huu ujirani gani hata hatutembeleani siku moja moja huwe unapita kunisalimia kwangu. Ruksa
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Wala.Mkuu taratibu na hawa viumbe, unapowavunja moyo huwa wanaumia kiukweli.
Sweetiepie nahisi kaumia, nahitaji kumweka sawa, spendi nimuumize mtoto wa watu, nitameki sure unarufisha moyo kwani nampenda.
Unajua p 123 ni mzoefu na ananielewa sana
Mchanganyiko wa nini hiyo??View attachment 389393 Kula hyo kitu uone achana na Pombe
Ahsante mkuu nme kusomaMkuu taratibu na hawa viumbe, unapowavunja moyo huwa wanaumia kiukweli.
Sweetiepie nahisi kaumia, nahitaji kumweka sawa, spendi nimuumize mtoto wa watu, nitameki sure unarufisha moyo kwani nampenda.
Unajua p 123 ni mzoefu na ananielewa sana
Matokeo vp ya yanga
Twasubiri kwa hamu sanaBasi ngoja tu niwaletee Old is ever Gold siwez wakatili na weekend hii na mambo ya ajabu. Itawajia hivi punde family