Makapuku Forum

Makapuku Forum

Soul for Real ( A.k.a Soul 4 real) ni kikundi cha R&B kutoka Wheatley heights huko New York, ila kwa sasa watu hawa wanaishi Atlanta pia hawa watu ni ndugu akiwemo Christopher Sherman, Andre "Dre" Lamont Dalyrimple a.k.a KD, Brian Augustus Daryrimple and Jason Oliver Dalyrimple. Kikundi hiki kilitamba sana miaka ya tisini katikati kwa vibao vyao vikali kama "Candy Rain" na Every "little thing i do" album yao iliuza sana kiwango cha Platinum. Karibuni [emoji5][emoji5]
Duuuh hata siwajui hawa
Mweer!!
 
1472403327984.jpg
 
Back
Top Bottom