Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,936
Ludia PapaaAsubuhi tumekuambia,hujaelewa tu
Ludia PapaaAsubuhi tumekuambia,hujaelewa tu
HahahaHaya ni maneno yatamtoa mtu kwenye mood

Mimi huwa najiombea mwenyeweAnataka akuombee wewe
Noo bado si kufa .kufa ni faidaUnaweza kuishi polini tu
Uko sahihi maji yanavuta haswa ya baharini. Na kama hukuzoea lazma unywe vikombe kwanza kabla hujamasta kuogelea.Uwa naogopa maji
Siend beach sana
I feel kama yata nivuta hivi![]()
Kukulia bara huku
Mi sijasema ntamchekea chekea hebu usinilishe manenoTwin...watoto hawatabiriki...ujue kuna tabia anaweza akaidevelop ukimchekea chekea anaweza kukuwa nayo...ni heri akakanywa na fimbo kidogo juu ndio huwa anaelewa somo. Mfano mimi nakumbuka jambo lolote baya nililofanya utotoni sikuwahi kurirudia baada ya kucharazwa maana nikiwaza yale maumivu tu naishiwa pozi...true story mi nilikuwa nna michezo ya hatari sana ambayo mingine pengine ingeweza kunidhuru hadi mimi mwenyewe...imagine mama angekuwa kimya tu.pengine ningekuwa nimeshapoteza uhai au kuharibikiwa kabisa pia nimeshuhudia watoto waliolelewa kimayai mayai sana walivyokuwa baadae. fimbo inamuhusu mtoto.
KF ndioKF ama wapi
Ni shida kubwaUwa naogopa maji
Siend beach sana
I feel kama yata nivuta hivi![]()
Kukulia bara huku
CC: ???
VeeveCongratsMimi
Duuuh yashakuwa hayaHahaha
Kabsa
Ana elewa pa kunikamatia
Kweli, nipe uthibitishoBro walio kufa wana raha
Mmekariri sana tatizo lenuWisdom![]()
Then i wanna die with you.Yes swt p any day that death will come ntafurahi tuu
Ubinadamu its crazy life







HahahaUko sahihi maji yanavuta haswa ya baharini. Na kama hukuzoea lazma unywe vikombe kwanza kabla hujamasta kuogelea.
Mi hapanaI loove death, ubinadamu unachosha
After all ntakuwa napumzika mateso ya dunuani mweer
Ameelewa sasaLudia Papaa
Najua mengi njoo nkupe ujuzi Jimena hana ishu huyu divorce tuanze upyaHahaha
Unajuaje !!
![]()
![]()
![]()


