Mwalimu katika ubora wakeUnaweka alama ya @ kisha unaandika jina la mtu bila kuacha nafasi
Jaribu tuone
Unaandika wapi sasa...ukiwa tayari umesha copy link ama veepe?Unaweka alama ya @ kisha unaandika jina la mtu bila kuacha nafasi
Jaribu tuone
Anataka akuombee wewe
siombei wanaumeYes swt p any day that death will come ntafurahi tuuiiiiih??![]()
Naanza kuelewa picha polepoleAsubuhi tumekuambia,hujaelewa tu
Kule sio kigamboni kule...basi kama ni hivyo ni mbali sana maana nilivyovuka pantoni nkaenda japo ni kaumbali karefu kutoka feli...yaah imepakana na Amani protea beach pako mwaaaah!!Mi naijua ila sio kigamboni, imepakana na amani beach
Haya ni maneno yatamtoa mtu kwenye moodUwa naogopa maji
Siend beach sana
I feel kama yata nivuta hivi![]()
Kukulia bara huku
Unaweza kuishi polini tuHahaha
Ukifa huend popote mkuu una pumzika tuu
Stubu kwa mtuu
CC: ???Yes
Yaan i mean unaongea vitu ambavo
Kuna mtu ilibid ndo aviseme
Sio kwamba una pretend
Duhhh
Lugha zangu kueleeka ni ngum![]()
Mafuta ya kukuombeaNdio nini hiyo??
Kawaida tu, mazungumzo yao hayana madharaAnajaribu kukuwin
HahahaMwalimu katika ubora wake
Hamna Pacha nimeongea siriaz ujue..imenigusa nkaanza kukumbuka flashbacks aiseeAnajaribu kukuwin
Mbona unajihami jirani, kama unayo sio mbaya kutugawiaHuko 120 kwa maisha ya siku hizi hufiki....labda ukaishi china wakupe ile chai ya majani yanayoongeza life span. Siyafahamu lakini