Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mi sijasema ntamchekea chekea hebu usinilishe maneno
Ila nimeishi kwenye Jamii ambayo haipigi watoto na watoto wana nidhamu ya hali ya juu tatizo nyie mmekariri.
Nimeishi pia kwenye Jamii inayotandika watoto na kuna watoto sugu.
Kwenye malezi kuna mambo mengi sana, na malezi yanaanza dakika ile mtoto anapozaliwa, ukimzoesha vibaya pale basi jua hata akikua atakusumbua sana
Ni hayo tu kwa leo
Fimbo is the key mupenzi
 
Weka picha
1472312660403.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom