Makapuku Forum

Makapuku Forum

91k tayari!!

Ngoja nitoe mpango kazi wangu kuelekea 100K.

Vita yote sasa ni 100k.

Hizo nyingine sijui 92k mpk 99k nitawaachia wenzangu wa mchangani wakiongozwa na JJ.

Hivyo basi nitangaze rasmi nimeanza kazi ya kuitafuta 100k kwa Udi na Uvumba.

Nakala kwa:
Jimena
Szczesny
shululu
Sweetiepie
jonax
werrason

Angalizo:
Kubwa lao huwa hayupo katika ligi hiyo, lakini sipuuzii uwepo wake!!
Mimi pia huwa sipo kama kubwa lao

Cc bitoz
 
Hawezi kuleta utukutu. Anaanzaje kwa mfano??
Twin...watoto hawatabiriki...ujue kuna tabia anaweza akaidevelop ukimchekea chekea anaweza kukuwa nayo...ni heri akakanywa na fimbo kidogo juu ndio huwa anaelewa somo. Mfano mimi nakumbuka jambo lolote baya nililofanya utotoni sikuwahi kurirudia baada ya kucharazwa maana nikiwaza yale maumivu tu naishiwa pozi...true story mi nilikuwa nna michezo ya hatari sana ambayo mingine pengine ingeweza kunidhuru hadi mimi mwenyewe...imagine mama angekuwa kimya tu.pengine ningekuwa nimeshapoteza uhai au kuharibikiwa kabisa pia nimeshuhudia watoto waliolelewa kimayai mayai sana walivyokuwa baadae. fimbo inamuhusu mtoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom